Tuesday, November 16, 2010

UTEUZI WA MAWAZIRI KTKT SERIKALI YA KITAIFA ZANZIBAR

BARAZA JIPYA LA MAWAZIRI ZANZIBAR
Kwa mujibu wa uwezo aliopewa chini ya Vifungu 42 (1) na (2), 43 (1) na (2) na 47 vya Katiba ya Zanzibar ya Mwaka 1984, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mheshimiwa Dkt. Ali Mohamed Shein ameunda Wizara 16 na kuwateua Wajumbe wa Baraza la Mapinduzi, Mawaziri na Naibu Mawaziri kama ifuatavyo:


1. Wizara ya Nchi Ofisi ya Rais
    Mhe. Dr. Mwinyihaji Makame

2. Wizara ya Fedha, Uchumi, na Mipango ya Maendeleo
    Mhe. Omar Yussuf Mzee

3. Wizara ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora
    Mhe. Haji Omar Kheri

4. Wizara ya Nchi Ofisi ya Makamo wa Kwanza wa Rais
    Mhe. Fatma Abdulhabib Fereji.

5. Wizara ya Nchi Ofisi ya Makamo wa Pili wa Rais
    Mhe. Mohammed Aboud Mohammed

6. Wizara ya Katiba na Sheria
    Mhe. Aboubakar Khamis Bakary.

7. Wizara ya Miundombinu na Mawasiliano
    Waziri: Mhe. Hamad Masoud Hamad
    Naibu:  Mhe. Issa Haji Ussi
8. Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali
    Waziri: Mhe. Ramadhan Abdulla Shaaban
    Naibu:  Mhe. Zahra Ali Hamad
9. Wizara ya Afya
    Waziri: Mhe. Juma Duni Haji
    Naibu:  Mhe. Dr. Sira Ubwa Mamboya
10. Wizara ya Habari, Utamaduni, Utalii na Michezo
      Waziri: Mhe. Abdilahi Jihad Hassan
      Naibu:   Mhe. Bihindi Hamad Khamis
11. Wizara ya Ardhi, Makaazi, Maji na Nishati-
      Waziri: Mhe. Ali Juma Shamhuna
      Naibu:  Mhe. Haji Mwadini Makame

12. Wizara ya Biashara, Viwanda na Masoko
      Waziri: Mhe. Nassor Ahmed Mazrui
      Naibu:  Mhe. Thuwaiba Edington Kissasi
13. Wizara ya Kilimo na Maliasili
      Mhe. Mansoor Yussuf Himid
14. Wizara ya Ustawi wa Jamii na Maendeleo ya Wanawake na Watoto
      Mhe. Zainab Omar Mohammed

15. Wizara ya Mifugo na Uvuvi
      Mhe. Said Ali Mbarouk

16. Wizara ya Kazi, Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi na Ushirika
      Mhe. Haroun Ali Suleiman

17. Mjumbe wa Baraza la Mapinduzi na Waziri Asiekuwa na Wizara Maalum
      Mhe. Suleiman Othman Nyanga

18. Mjumbe wa Baraza la Mapinduzi na Waziri Asiekuwa na Wizara Maalum
      Mhe. Haji Faki Shaali

19. Mjumbe wa Baraza la Mapinduzi na Waziri Asiekuwa na Wizara Maalum
      Mhe. Machano Othman Said


Mawaziri na manaibu waziri wanatarajiwa kuapishwa tarehe 16/11/2010


Na Mh. Dr. Ally Mohammed Sheni Rais wa SERIKALI YA UMOJA WA KITAIFA

ZANZIBAR katika viwanja vya Ikulu KISIWANI ZANZIBAR