Friday, November 19, 2010

KUAPISHWA KWA WAZIRI MKUU Mr.Mizengwe Kayanza Peter Pinda

WAZIRI MKUU MTEULE AKILA KIAPO MBELE YA RAIS
RAIS JK AKIMPONGEZA WAZIRI MKUU BAADA YA KULA KIAPO
CHA UTII MBELE YA MWANA SHERIA MKUU WA SERIKALI.
PICHA YA PAMOJA KUTIKA KULIA NI
1.Makamu wa kwanza wa Serikali ya umoja wa kitaifa ya Zanzibar
Mh.Maalim Seif Sharif Hamad
2.Waziri mkuu wa Tanzania Mizengwe Kayanza Peter Pinda
3.Rais wa Tanzania Jakaya Khalfani Mrisho Kikwete
4. Makamu wa Rais wa Tanzania Dr.Mohammed  Gharib Bilali
5.Rais wa Serikali ya Umoja wa kitaifa ya Zanzibar
Dr.Ally Mohammed Sheni
Rais JK na PINDA pamoja na mawaziri wakuu wastaafu
JK akiwa na viongozi mbalimbali wa serikali ktk IKULU ndogo Dododma


JK akiwa na Viongozi wa Ulizi na Usalama

Tuesday, November 16, 2010

UTEUZI WA MAWAZIRI KTKT SERIKALI YA KITAIFA ZANZIBAR

BARAZA JIPYA LA MAWAZIRI ZANZIBAR
Kwa mujibu wa uwezo aliopewa chini ya Vifungu 42 (1) na (2), 43 (1) na (2) na 47 vya Katiba ya Zanzibar ya Mwaka 1984, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mheshimiwa Dkt. Ali Mohamed Shein ameunda Wizara 16 na kuwateua Wajumbe wa Baraza la Mapinduzi, Mawaziri na Naibu Mawaziri kama ifuatavyo:


1. Wizara ya Nchi Ofisi ya Rais
    Mhe. Dr. Mwinyihaji Makame

2. Wizara ya Fedha, Uchumi, na Mipango ya Maendeleo
    Mhe. Omar Yussuf Mzee

3. Wizara ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora
    Mhe. Haji Omar Kheri

4. Wizara ya Nchi Ofisi ya Makamo wa Kwanza wa Rais
    Mhe. Fatma Abdulhabib Fereji.

5. Wizara ya Nchi Ofisi ya Makamo wa Pili wa Rais
    Mhe. Mohammed Aboud Mohammed

6. Wizara ya Katiba na Sheria
    Mhe. Aboubakar Khamis Bakary.

7. Wizara ya Miundombinu na Mawasiliano
    Waziri: Mhe. Hamad Masoud Hamad
    Naibu:  Mhe. Issa Haji Ussi
8. Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali
    Waziri: Mhe. Ramadhan Abdulla Shaaban
    Naibu:  Mhe. Zahra Ali Hamad
9. Wizara ya Afya
    Waziri: Mhe. Juma Duni Haji
    Naibu:  Mhe. Dr. Sira Ubwa Mamboya
10. Wizara ya Habari, Utamaduni, Utalii na Michezo
      Waziri: Mhe. Abdilahi Jihad Hassan
      Naibu:   Mhe. Bihindi Hamad Khamis
11. Wizara ya Ardhi, Makaazi, Maji na Nishati-
      Waziri: Mhe. Ali Juma Shamhuna
      Naibu:  Mhe. Haji Mwadini Makame

12. Wizara ya Biashara, Viwanda na Masoko
      Waziri: Mhe. Nassor Ahmed Mazrui
      Naibu:  Mhe. Thuwaiba Edington Kissasi
13. Wizara ya Kilimo na Maliasili
      Mhe. Mansoor Yussuf Himid
14. Wizara ya Ustawi wa Jamii na Maendeleo ya Wanawake na Watoto
      Mhe. Zainab Omar Mohammed

15. Wizara ya Mifugo na Uvuvi
      Mhe. Said Ali Mbarouk

16. Wizara ya Kazi, Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi na Ushirika
      Mhe. Haroun Ali Suleiman

17. Mjumbe wa Baraza la Mapinduzi na Waziri Asiekuwa na Wizara Maalum
      Mhe. Suleiman Othman Nyanga

18. Mjumbe wa Baraza la Mapinduzi na Waziri Asiekuwa na Wizara Maalum
      Mhe. Haji Faki Shaali

19. Mjumbe wa Baraza la Mapinduzi na Waziri Asiekuwa na Wizara Maalum
      Mhe. Machano Othman Said


Mawaziri na manaibu waziri wanatarajiwa kuapishwa tarehe 16/11/2010


Na Mh. Dr. Ally Mohammed Sheni Rais wa SERIKALI YA UMOJA WA KITAIFA

ZANZIBAR katika viwanja vya Ikulu KISIWANI ZANZIBAR

Monday, November 8, 2010

HABARI MOTOMOTO NA ZA UKWELI JUU YA WATU MAARUFU

OFF SIDE
FILAMU MPYA YA  RAY ,KANUMBA, OPRA NA WENGINE KIBAO

KANUMBA, JB NA RAY
KANUMBA
RAY NA KANUMBA
HAWA JAMAA NI NOMA
WANOVYOSHOOT KAMA ULAYA
RAY AKIANGALI SCRIPT ZA FILAMU
RAY AKIWANA JB KTK MOJA YA SINI ZAO
KANUMBA NA REY
JB AKIWA NA RAY NA KANUMBA
RAY NA KANUMBA
HIPA SASA PICHA KALI YANI JB NA OPRA
KISHA ANATOKEA RAY NA KANUMBA
OPRA NAE ANAVYOPENDA SIFA HAPIGIWI ANACHEZA
OPRA AKIWA ANATAKA KUMPIGA BASTOLA KANUMBA
RAY SASA ANATOKEA WAKATI
KANUMBA KANUSURIKA KUFA
SASA HAPO ITAKUAJE
KANUMBA NA JB
BADHI YA WASANII WALIOPO NDANI YA
OFF SIDE
KANUMBA, REY NA JB
REY NA KANUMBA
REY
KANUMBA
CAMERA MAN
 KANUMBA NA RAY
JB NA OPRA
REY NA KANUMBA
KANUMBA NA OPRA
KANUMBA
SEND OFF YA THEA NA MIKE
UKUMBI ULIPENDEZA SANA
HAWA NAO EALIKUWEPO
HIVI NDIVYO ILOVYOKUWA KTK
SEND OFF YA THEA NA MIKE
JB NA OPRA NAO WALIKUWEPO
HUYU NI BABA TAKE THEA
THEA NA MUMEWE MIKE WAKITOKA
KUCHUKA  MSOSI


BAADHI YA FILAMU ALIZOCHEZA KANUMBA
HII NI FILAMU MPYA YA KANUMBA

BADHI YA FILAMU ALIZOCHEZA RAY (VICENT KIGOSI)

MSAFARA WA JK UKIWA ANAINGI TAIFA
MARAISI MBALIMBALI
karibu Tanzania
Usalama wa JK awkioshuka
JK akiwa anaingia ktk uwanja wa taifa DSM
Viongozi mbalimbali kaimba wimbo wa Tanzania Taifa DSM
Lipumbakutoka kushoto JK katikati na Seif
Hizi ndio mbinu za CCm
Huyu ndio Mpinzani wang mkubwa
Hongera kwa Kupewa urais tena
Tupo pamoja BABA
Dr.Shani akila kiapo
Hongera
Sasa umekuwa Rais kama mimi
Mambo mazuri sasa
Kaka nafuata nyayo zako sasa
Tanzania oyeeeeeeeeeeee
Lazima tupigane na umasikini

viongozi mbalimbali ktk sherehe za kumuapisha JK
Rais BUSH na Rais JAKAYA
LIPUMBA, JAKAYA NA MAALIM SEIF
JAKAYA NA MAMA JAKAYA
JAKAYA NA GADAFI
LIPUMBA NA MBOE
.......MWAKA HUU TUSHAPIGWA BAO LA WAZI ........
HII NDIO ILANI YA CUF
LADEJAYDEE AKIWA NA LIPUMBA
LIPUMBA AKIWA NALOWASA
...Wewe umechukua pesa za watanzani  sasa tugawane
Hongera Jakaya
cheti cha ushindi wa uchaguzi
Lipumba anampongeza JK baada ya kutangazwa mshindi
Huyu ni mtu wa watu
.......Hama Tanzania njoo ukae hapa.......
Nitakupa Nyumba ilee nyuma yetu
RAIS JAKAYA MRISHO KIKWETE
JAKAYA AKIWA NA OBAMA NA MAMAA OBAMA
POA MUMESHINDA LAKINI SI KWA KISHINDO
SASA BAADAE TUPANGE JINSI TUTAKAVYO IYONGOZA TZ
TWENDEZETU ULAYA
KIKWETE AKIWA NA WAGENI
JAKAYA NA OBAMA
mama mashauzi akiwa na dida
dida akizirudi kuonesha owezo

rose jimama nae akijibu mapigo ya dida

dida na mashogazake wakina na biharusi katika picha ya pamoja

mama niperadhi niipe radhi........................
hapa nilipo mashetani mama ninamashetani eeh............

kuna mkanda wa suruali huu ni mkada wa pesa
KEKI YA 100.5 TIMES RADIO

dida mzee yusuph akikata keki ya 100.5 mguso wa jamii

kundi la jahazi likitoa ladha

mama isha mashauzi aklitawala jukwaa

HUKU NDIKO ILIKOANZA TAARAB

Huyu ndio mfalame wa taarab na ni doctor wa mapenzi

kundi la jahazi likiwa 100.5 kwa mahojiano

mwanahawa ally na dida ndani ya traventain

na wewe unata kama hiiiiiii,,,,,,,,,,,,,,,,,,

amogo akiwa na wenzake radio times 100.5

mfalme Mzee yusuph akitoa show kabambe

Dida nae akijaribu kuimba kufuata fani ya mumewe mtarajiwa

ajali ya gari

ajali ya ndege ya JWTZ

Muasisi wa Taarab na ni Mkemwenza na Dida

...................daladala...............

studio iliyopo ndani ya daladalaaaaaaaaaaaaaa

panda humu toa maoni yako........

Nampa mahabuba mpenzi ninae mtaka, Nampa mahabuba mpenzi ninae mtaka
Amini yangu mahaba sitoi kama sadaka, Amini yangu mahaba sitoi kama sadaka



dida katika kilimanjaro music award


Sio anatisha kwenye utangazaji tu mpaka kutikisa nyonga
arererererrerererererererereeeeeee

siku mojamoja unijiachia bwana
mwanamke mashauzi 


Dida na Bi hindu

wakina dada wanatikisa nyonga ufukweni


Huyu ndio MFALME wa TAARAB

STUDIO YA 100.5


Isha mashauzi

Jahazi wakiwa wanatoa burudani kwa wapenzi wa kundi hilo

Jahazi wakiwa studio za 100.5 wakihijiwa

Jahazi wakiwa ktk tamasha la sauti za busara ZNZ

MKALI WA TAARAB


Maryam migomba aka mami

Barthday ta 100.5

Mama mashauzi

Khadija yusuph akiwa na wifi yake Leyla Rashid

Mfalme akiwapa mashabiki wake stile ya miduku



First lady wa Jahazi akitoa ladha

KAKA NA DADA
Udugu hazina yetu muhimu kutoka kwa wazee wetu wa damu

Mzee yusuph

Huu ndio mfano wa udugu wa kweli

Prof.mzee yusuph akiwa na Maimatha


NATAKA PAJA MIE HAKINITOSHI KIPAPATILO

wanzanzibar halisi sio wakuchovya

maalim seif sharif hamad akimpongeza Dr.Jakaya mara tu baada
ya kuapishwa kuwa Rais wa Taznania kwa mara ya pili

akiwa kazini kumbe anakuwa katulia kama sio yeye
...........HUWEZI KULA BILA YA KULIWA..................
.................LAZIMA ULIWE KIDOGO NDIPO ULE..................
............SINA MAANA MBAYA ................

nimekukubali wananchi wako wanakukubali sana
nitakuita nami uje kunipigia kampeni DRC ou sio mwanangu

Wewe ni noma ...............
wacha masihara yako Mr.Mugabe

Twende huku nami unifundishe siasa za kidiplomasia

Kutoka kulia rais wa Zambia, Afrika kusini, Tanzania, Kenya na DRC
katika picha ya pamoja


Hii ndio sheria yetu
Mwanasheria mkuu wa serekali baada ya kula kiapo

mwanasheria mkuu anakula kiapo mbele ya Rais

Nipe baba nikawapeleke mpelampela
mpaka watajuta kukufahamu



 
MELI KUBWA SANA KUSHAWAHI KUPANDA AU HATA KUIONA








































TANZANIA NI NZURI ILA
TWIGA AKIWA KTK POZI

Makamu wa raisi wa Tanzania

Bilal kashaanza kazi

HAYA NI MAAJABU YA ALLAH
Mbuzi kajichora ALLAh

Mti nao unarukuu baada ya binaadamu kukataa kufaja ibada

MIUJIZA YA ALLAH

RAIS WA ZANZIBAR AMUAPISHA MWANASHERIA MKUU

TANZANIA INA MALIASILI NYINGI

HAWA WOTE WAPO TANZANIA

PIA NAWA WAPO TZ


MIUJUZA YA ALLAH KIPINDI CHA SUNAMI

MITI ILIOJIANDIKA JINA LA ALLAH

HAWA NDIO MATAJIRI WA DUNI MWAKA 2010

MIUJIZA YA ALLAH

HII NAYO NI MIUUZA