Wednesday, December 22, 2010

PICHA ZA FILAMU NA MATUKIO MBALIMBALI YA WASANII WA Tz

kanumba akiwa na ray

kanumba akiwa ana Opra

Kanumba,Opra, Ray, Anti Ezakerl na maya



Gari la Kanumba





JB

OFF SIDE





Ray na Kanumba



JB, Kanumba, Ray na Opra


























Friday, November 19, 2010

KUAPISHWA KWA WAZIRI MKUU Mr.Mizengwe Kayanza Peter Pinda

WAZIRI MKUU MTEULE AKILA KIAPO MBELE YA RAIS
RAIS JK AKIMPONGEZA WAZIRI MKUU BAADA YA KULA KIAPO
CHA UTII MBELE YA MWANA SHERIA MKUU WA SERIKALI.
PICHA YA PAMOJA KUTIKA KULIA NI
1.Makamu wa kwanza wa Serikali ya umoja wa kitaifa ya Zanzibar
Mh.Maalim Seif Sharif Hamad
2.Waziri mkuu wa Tanzania Mizengwe Kayanza Peter Pinda
3.Rais wa Tanzania Jakaya Khalfani Mrisho Kikwete
4. Makamu wa Rais wa Tanzania Dr.Mohammed  Gharib Bilali
5.Rais wa Serikali ya Umoja wa kitaifa ya Zanzibar
Dr.Ally Mohammed Sheni
Rais JK na PINDA pamoja na mawaziri wakuu wastaafu
JK akiwa na viongozi mbalimbali wa serikali ktk IKULU ndogo Dododma


JK akiwa na Viongozi wa Ulizi na Usalama