Thursday, October 7, 2010

CCM WAFUNIKA UNGUJA NA PEMBA aka ZANZIBAR

Uwanja wa Demokrasia ulikuwa mdogo

wana TEMCO kibao wakiwa bize

JK akihutubia maelfu ya wananchi na wana CCM wa Zanzibar katika uwanja wa Demokrasia (zamani kibanda maiti) huko Unguja

Waangalizi huru wa uchaguzi wa TEMCO walikuwepo kibao

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dr. Amani Abeid Karume akipiga chapuo kwenye mkutano huo wa kampeni wa JK katika uwanja wa Demokrasia, Unguja

Mh. Temba na Chegge wa TMK Family walikuwepo kumtambulisha JK kwa wananchi


 Ankal akiwa Pemba na m gombea ubunge wa CCM wa jimbo la Mkoani Issa Mohamed Salim (kati) na mgombea uwakilishi wa jimbo la Mkanyageni Masoud Mohamed Abdallah

JK akisalimiana na mgombea ubunge jimbo la Wawi Mh. Daudi uwanja wa Pemba

JK akiaga uwanja wa Pemba

wana CCM wa skuta wakimsubiri JK akitokea Pemba



Msanii aliye juu kabisa visiwani kwa sasa akitumbuiza


Barbara na Lilian walikuwepo pia


Marlaw naye akipiga honi kwa wapinzani


 wana CCM kibao mkutanoni hapo

Kikosi kazi cha Zenj FM kilikuwepo kurusha laivu tukio hili