Thursday, October 7, 2010

BWEBWE ZA DIDA NA 100.5 TIMES FM MGUSO WA JAMII

                                   









Najua binadamu kila mtu anamapungufu yake ila tu unafahamu wengine hujitengenezea roho za chuki mwisho wa siku utaitwa mchawi kwa roho yako ya kwanini.ukimuona mwenzio anafanikiwa roho inakutatalika kama bisi zipo jikoni,ila na unakuwa na wasiwasi utafikiri muuza gongo unakwepa polisi acheni izo waja haya ni maisha tu ila mjue wazi moyo na yangu nafsi umepoa kama almasi sina bifu wala jelous na silipizi kisasi ila utaisoma namba hata kama za kichina.utakae ona umebanwa utasogea hii ni blog ya kuwanyoosha wale wanaojifanya wamepinda kama spoku za baiskeli kama wewe mzungu tembelea kwengine.

NASHUKURU MUNGU WADAU NIMERUDI SALAMA

Ukiipenda dida classic jibu lako

Ndani ya ofisi za radio times kushoto sheiza,dida na mzee chapuo msimamizi wa kipindi

Nimetengeneza shavu nikiwa ndani ya pozi na sheiza mtangazaji ndani ya radio times fm.

Jamani we acha nilishasahau milio ya paka na kelele za baba mwenye nyumba, ila hapo na mawazo zimebaki siku mbili za kurudi home nawazaje?ila nimekula bata maana si ng'onda

Hapo nasubiri kisamaki mawazoni kumbe bakuli la samaki


Nilikula ubao nchi ya watu mchezo hakuna utamzukia shangazi ha ha ha


Jamani acheni mazoea ya mchemsho uchochoroni balaa nchi niliopo nilitamani supu ya samaki nikaagiza nikajua kidogo kama tulivyozoea mkia au kichwa yailah mie nilijuta nilipoliona bakuli

Isome kimya kimya

MHHHHHHHH sijui napanda au nashuka?

MHHHHHH nitajuta baada ya muda,kimya kimya basi.