WAZIRI MKUU MTEULE AKILA KIAPO MBELE YA RAIS
RAIS JK AKIMPONGEZA WAZIRI MKUU BAADA YA KULA KIAPO
CHA UTII MBELE YA MWANA SHERIA MKUU WA SERIKALI.
PICHA YA PAMOJA KUTIKA KULIA NI
1.Makamu wa kwanza wa Serikali ya umoja wa kitaifa ya Zanzibar
Mh.Maalim Seif Sharif Hamad
2.Waziri mkuu wa Tanzania Mizengwe Kayanza Peter Pinda
3.Rais wa Tanzania Jakaya Khalfani Mrisho Kikwete
4. Makamu wa Rais wa Tanzania Dr.Mohammed Gharib Bilali
5.Rais wa Serikali ya Umoja wa kitaifa ya Zanzibar
Dr.Ally Mohammed Sheni
Rais JK na PINDA pamoja na mawaziri wakuu wastaafu
JK akiwa na viongozi mbalimbali wa serikali ktk IKULU ndogo Dododma
JK akiwa na Viongozi wa Ulizi na Usalama