GARI INAYOTEMBEA BILA YA DEREVA NI KWAKUTUMIA
RADA IMETENGENEZWA NA CAMPUNI YA GOOGLE
DADA ESTER CHAMRIHO AKIPONGEZWA NA WAFANYAKAZI
WENZAKE KTK SEND OFF YAKE .
NATAKA ...................... UKIWA RAIS
USIJALI ..................... SI UNANIJUA MAMBO YANGU
WANA CCM OYEEEEEEEEEEEE
MIMI NDIO RAIS WA TANZANIA SAWA...............................
NDIO MZEEEEEE ..............................
MPENI KURA JK MKIMPA YEYE NDIO MUMENIPA MIMI SWA WANA CCM
KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI
CCM OYEEEEEEEEEEEEEEEE
WANA CCM WAMSIKILIZA Dr.BILAL
BABA UMEPETA USHINDI
MUMEMUONA RAISI WA WATANZANIA
KIKWETWTE JUUUU..............
MIMI NAFAA AU SIO JAMANI .................
NDIOOOOOOOOOOOOOOOOO
SASA KAMA NAFAA NIPENI KURA ZENU
UKUWA RAISI USISAHAU KUNIPA HATA
WIZARA YA MICHEZO MUHESHIMIWA
USIJALI KIJANA WANGU NITAKUPA WIZARA YA ................
MPENI HUYU UBUNGE WENGINE WABABAISHAJI SDAWA
CCM OYEEEEEEEEEEEEEE
SASA UTANIOA UKIWA RAIS ...................
AU NITAKUWA NIMEFULIA.....................
UMEPITA BABA WANAKUKUBALI ILE MBAYA
OYA MPENI KURA HUYU SAWA
NIKIWA RAISI NITAKUJA KUOA MKE MMOJA HAPA
KUDUMISHA UDUGU SAWA
TENE YULE................................. AMI.......
MUHESHIMIWA USINISAHA UWAZIRI SAWA HUKU
WATU WANAKUKUBALI SANA
KULIKO HATA MIMI MWENYEWE
NITAWARUDISHA MJINI MUENDELEE KUOMBA
NAHAKUNA MTU AMBAE ATAWAFUKUZA TENE
SAWA.